Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Jana bwana pale Tunisia ulipigwa mtanange wa fainali ya pili baada ile ya kwanza iliyochezwa wikimoja iliyopita kule morrocco kuisha kwa 1-1. Kwenye ile mechi ya mkondo wa kwanza lilifungwa goli la utata VAR ikafanya kazi sawasawa, kituko kwenye mechi ya marejeano ya jana usiku Esperence walitangulia kufunga goli wydad wakachomoa kwa goli la kichwa refa akasema ni offside ikabidi wakarejee kwenye VAR kufika kwenye VAR eti ikagoma kufanya kazi. Refa akawaita wydad waludi kuendelea na mpira wydad wakagoma refa akasubili dakika kumi na tano wydad wakagoma kabisa kuendelea na mchezo, CAF wakaipa ubigwa Esperence. Yani mpira wa africa ni ovyo ovyo sio TFF wala CAF wote ni watoto wa baba mmoja.