MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Television ya taifa,ipo bize na mambo ambayo yalikuwa out of the day kwa jana,
WENZETU WANAJITAHIDI ANGALAU KUONYESHA TIMU YAO INAPOCHEZA TU mikosi ikaanzia hapo,ikaendelea mpaka kwa mashabiki wakimbizi, na wale wakushabikia mchezaji,ikaendelea na wapagani ambao hawakusali jana.