Hivi chanzo cha ugomvi ulikua ni nini...ni aibu kubwa waheshimwa wanarusha ngumi kama mabondiaKabla ya hapo kuna wale kamaa wa mjengoni walipigana ngumi wakiwa hotelini..mikosi kwa kwenda mbele
Nimekuelewa mkuu kwa kiwango cha lami hao wachezaji uliowataja Kwanza juzi tu wametoka kucheza mashindano makubwaNi kweli tuna wachezaji wazuri ambao wangepangwa matokeo yangekuwa tofauti kidogo.
Timu haikuwa balanced kwa maana katika kupanga timu tulizingatia uwakilishi sawa kati ya TZ Bara na TZ Visiwani.
Mimi ni shabiki wa Dar Es Saam YOUNG AFRICANS lakini kuwaacha akina Nyoni na Zimbwe (shabalala) katika timu ya kwanza ni makosa kitaaluma. Pia kumwacha Mkude kwenye timu ya Taifa pia ni makosa.
Kucheza mpira pamoja na kuwa ni Burudani lakini ni sawa na kupigana vita. Hatuwezi kuzingatia uwakilishi wa Bara na VIsiwani kwenye Vita. Tukumbuke Vita ya Kagera tulivyopigana. Hatukuwa na swala la uwakilishi sawa ila tu uwezo wa kila askari.
Akina Msuva na Samatta walishindwa kucheza kwa sababu timu haikuwa na muunganiko kutoka nyuma, mid field hadi mbele.
Upangaji wa Timu ulikuwa mbovu.
Safi!Ni kweli tuna wachezaji wazuri ambao wangepangwa matokeo yangekuwa tofauti kidogo.
Timu haikuwa balanced kwa maana katika kupanga timu tulizingatia uwakilishi sawa kati ya TZ Bara na TZ Visiwani.
Mimi ni shabiki wa Dar Es Saam YOUNG AFRICANS lakini kuwaacha akina Nyoni na Zimbwe (shabalala) katika timu ya kwanza ni makosa kitaaluma. Pia kumwacha Mkude kwenye timu ya Taifa pia ni makosa.
Kucheza mpira pamoja na kuwa ni Burudani lakini ni sawa na kupigana vita. Hatuwezi kuzingatia uwakilishi wa Bara na VIsiwani kwenye Vita. Tukumbuke Vita ya Kagera tulivyopigana. Hatukuwa na swala la uwakilishi sawa ila tu uwezo wa kila askari.
Akina Msuva na Samatta walishindwa kucheza kwa sababu timu haikuwa na muunganiko kutoka nyuma, mid field hadi mbele.
Upangaji wa Timu ulikuwa mbovu.
Na wale waliochoka kufanyia ufuska Dodoma wakaamua wakafanyie misri mbali na waume/ wake zaoTelevision ya taifa,ipo bize na mambo ambayo yalikuwa out of the day kwa jana,
WENZETU WANAJITAHIDI ANGALAU KUONYESHA TIMU YAO INAPOCHEZA TU mikosi ikaanzia hapo,ikaendelea mpaka kwa mashabiki wakimbizi, na wale wakushabikia mchezaji,ikaendelea na wapagani ambao hawakusali jana.
Hiki jambo mbona mnalifanya siri? Fungukeni tuwaelewe ni nani hao? Au kuna mtu alileta uccm wakampa kibano?Kabla ya hapo kuna wale kamaa wa mjengoni walipigana ngumi wakiwa hotelini..mikosi kwa kwenda mbele
Hahahaa...... Walikuwa wanamgombania viti maalum mmoja wa chadema!Hiki jambo mbona mnalifanya siri? Fungukeni tuwaelewe ni nani hao? Au kuna mtu alileta uccm wakampa kibano?
mechi hata zikionyeshwa kama yupo himidi mao kipigo kipo constant kama paiTelevision ya taifa,ipo bize na mambo ambayo yalikuwa out of the day kwa jana,