Mechi ya jana Simba dhidi ya Mtibwa

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nilifuatilia mechi ya jana Simba dhidi ya Mtibwa na ninawashauri Klabu ya Simba kama ifuatavyo:- Licha ya kucheza vizuri lakini bado kuna tatizo na mlinda mlango. Manula siyo maakini hata kidogo na lile goli la jana kama kipa angekuwa maakini lile goli lisingetingisha nyavu. Changamoto lingine la Manula ni kimo chake. Kwa kimo ni mfupi na kwa kawaida mlinda mlango anatakiwa mtu mrefu na machachari. Nawashauri mfanyie kazi hizo changgamoto. Timu ni nzuri sana na hata kocha asilaumiwe ni kocha mzuri sana.
 
Mbona hujaandika matokeo sasa mkuu

Ungeanza na walifungana.......
 
!
!
Tatizo la Simba liko kwa Uongozi. Haya mengine ni visingizio tu mara Manula mara Omog. Viongozi wameshindwa. Kichwa kikifa kiwiliwili hakiwezi kuona.
 
Kikosi cha bilioni 1.3 leo hii droo kwao ushindi...inashangaza sana
 
Ni kweli Simba tuna changamoto ya Golikipa pia.
Kocha wa makipa inabidi alifanyie kazi hili jambo.
Manula amefungwa kilahisi na Mbao na Malawi kwa mipila myepezi ya Juu.
Tatizo ni ufupi tu.
 
Kama kuna group la michezo please add me
 
Ni kweli Simba tuna changamoto ya Golikipa pia.
Kocha wa makipa inabidi alifanyie kazi hili jambo.
Manula amefungwa kilahisi na Mbao na Malawi kwa mipila myepezi ya Juu.
Tatizo ni ufupi tu.
Jifunze kiswahili wewe nyumbu mipila ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…