babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Wana Simba wenzangu igweee........
Kwanza kabisa Nitoe pongezi kwa timu yangu pendwa ya [emoji881] Kwa mchezo safi iliyouonesha huko nchini Guinea. Japokuwa tulichapwa bao Moja ila angalau timu ilionesha uhai na ari ya kupambana ugenini.
Sasa kimbembe kipo hapo jumamosi pale wababe wa Morocco hapa nawazungumzia Raja Casablanca watakapokuwa ndani ya dimba la mkapa wakipapatuana na timu yetu ya Simba.
Chonde chonde wachezaji, Viongozi, kocha Robertinho na benchi lote la ufundi, tukifungwa mjua hakutakalika hapa klabuni.
Sasa leteni masihara tupoteze huo mchezo ili kisanuke na watu wahoji ile safari ya Dubai mlienda kuweka Kambi ya kujiandaa na mechi za kimataifa au mlienda kupeleka Sembe