Mechi ya Jumamosi ndio itatupa Majibu kama Dubai Tulienda Kujiandaa na Mechi za Kimataifa

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Wana Simba wenzangu igweee........

Kwanza kabisa Nitoe pongezi kwa timu yangu pendwa ya [emoji881] Kwa mchezo safi iliyouonesha huko nchini Guinea. Japokuwa tulichapwa bao Moja ila angalau timu ilionesha uhai na ari ya kupambana ugenini.

Sasa kimbembe kipo hapo jumamosi pale wababe wa Morocco hapa nawazungumzia Raja Casablanca watakapokuwa ndani ya dimba la mkapa wakipapatuana na timu yetu ya Simba.

Chonde chonde wachezaji, Viongozi, kocha Robertinho na benchi lote la ufundi, tukifungwa mjua hakutakalika hapa klabuni.

Sasa leteni masihara tupoteze huo mchezo ili kisanuke na watu wahoji ile safari ya Dubai mlienda kuweka Kambi ya kujiandaa na mechi za kimataifa au mlienda kupeleka Sembe
 
Eti mkaenda na Dubai[emoji23][emoji23] kipigo mkapigwa na kwa Mkapa ndio mnaenda kuzikwa rasmi
 
Kwani kambi ya avic town mpaka leo huko kimataifa imeleta nini zaidi ya aibu tu hebu toa utopolo wako na wewe
We tulia jmos ifuke ndio utajua Kambi ya Dubai na avic zinatofauti gani, tumewatunzia Siri wanaanza kutuletea mafyongo
 
Simba Atashinda lakini sio ishu.

Bila kuwa na Quality Player ni TATIZO....
MALENGO ITAKUWA NI MAKUNDI TU.

SIMBA DUME IMEPOTEZA QUALITY KAMA.

Dilunga
Morison.
Thadeo Lwanga.
MUGALU.
Kagere
Miquesson.


IMESAJILI MIZIGO KAMA
Dejan.
Occrah.
Ottara.
Sawadogo.
Kanute.
Nk

SIMBA INASHUKA BADALA YA KUPANDA.
MO NI MCHENZI SANA.
ANA INGIA TOKA INGIA TOKA SANA.
 
We mbwa afazali sisi tumeweka kambi kigamboni, wewe ukaenda hadi bara lingine na ukaambulia kipigo
Mbwa mwenyewe kama alivyowaita luc eymael
Halafu hamna pesa ya kuweka kambi nje ya nchi gongowazi wewe
 
tusidanganyane jamani,kuwafunga hao raja sio rahisi ivyo,Kuna aibu kubwa inakuja Tena,na hata Hawa yanga nao Bado wamepoa mno,tusuburi TU jmos na j2,ni vipigo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…