ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Me hii final dakika 90 za mwanzo naweka draw.desturi ndo ipo hivo kama kuliwa acha niliwe kivyangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game ni mbili kwa moja ,usiseme Mimi ni mchawi ndio ukweli huoMe hii final dakika 90 za mwanzo naweka draw.desturi ndo ipo hivo kama kuliwa acha niliwe kivyangu.
Malizia kabisa Mnyama ataibuka kidedea hizo 2-1Hii game ni mbili kwa moja ,usiseme Mimi ni mchawi ndio ukweli huo
Hata me naona ivyoo yaniiMe hii final dakika 90 za mwanzo naweka draw.desturi ndo ipo hivo kama kuliwa acha niliwe kivyangu.
Usiku Wa deni,haukawii kukucha yanga bingwaMalizia kabisa Mnyama ataibuka kidedea hizo 2-1
Aliyekuuliza timu yako ni nani?Mnajitekenya na kucheka wenyewe.Kesho mnaloHii game mimi nimeota kabisa dakika 90 draw ila kwenye matuta simba Akashinda
Note:Mimi ni mwananchi
Punguza jazba mkuuAliyekuuliza timu yako ni nani?Mnajitekenya na kucheka wenyewe.Kesho mnalo