Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuwa na aibu.Ushirombo ndio timu gani hiyo au mmeona mjiuze kwa mnyama?
Hahaha lazima wale goli nyingiPasipo Shaka mutafungwa tu maana hakuna namna sasa
Mpaka TFF wanaijua hahaha uenda wewe ni mgeni wa soka.Kuwa na aibu.Ushirombo ndio timu gani hiyo au mmeona mjiuze kwa mnyama?
Mpaka TFF wanaijua hahaha uenda wewe ni mgeni wa soka.Kuwa na aibu.Ushirombo ndio timu gani hiyo au mmeona mjiuze kwa mnyama?
Hahaha mkuu kuna mchezaji wetu anaitwa Gasper Watamkoma jamaa ni mchezaji bora wa mkoa wa geita watamkoma aisee .Ushirombo fc watabaki kumshangaa Mavugo tu badala ya kucheza
Mkuu hakuna alietegemea Bolivia wataifunga Argentina hivyo usiweke uhakika kwa myama hautakuja kuamini.Pasipo Shaka mutafungwa tu maana hakuna namna sasa
Mkuu jaribu kuwa sirias.Watu mna maneno
Tanzania ,Ushirombo ipo nchi gan? Mkuu
Hahaha poa mkuuWatu wengne bn, ngoja tuweke akba ya maneno
Kuwa na adabu mkuu sisi USHIROMBO RANGERS NI TIMU KUBWA.Duuh naona wamatopeni Kwa wamatopeni wanakutana....mpakaaa raha....hahahahahaha nacheka tuu