channel gani wanarusha?? TBC?Mechi inaanza saa 2:15 usiku
Hahaha! Dah!Ni mda mwafaka wa kuvunja muungano ili Tuwe na ushindani wa kufa na kupona
Nyie ni expansion joints ndiomaana mnafungwaHawa jamaa mara nyingi wanatufungaga
Saa mbili na robo usiku baada ya shoo ya DiamondNi saa moja jioni. Dakika chache tu kutoka sasa.
Sikio halizidi Kichwa
Dimondi anatumbuiza zenji??Saa mbili na robo usiku baada ya shoo ya Diamond
Yaani Zanzibar Heroes inacheza na Nchi inayoitwa Kilimanjaro Stas ?Ni mda mwafaka wa kuvunja muungano ili Tuwe na ushindani wa kufa na kupona
UmerudiDah! Wamechukua umeme, Niko home sijui utarudi mapema nicheki gemu!
???channel gani wanarusha?? TBC?
Ndiyo timu zipo kukaguliwa muda huu.updates zikoje?