Hivi simba ipo?
Simba bado ipo mkuu Deo Corleon ila sio simba ile unayoifahamu wewe, Simba ya sasa hivi sio ya timu ya mpira wa miguu, simba ya siku hizi ni ya kundi la wasanii waimba taarabu na mipasho akina Hajji Manara, akina Hans Poppe na wasanii wengine.Hivi simba ipo?
mkuu, lilishaga baki jina tu lakin simba alishaga jifia.zaman
mikia wamesahau hata kushangilia, wanachojua ni kuzomea tu timu wasiyoipenda (timu ya kimataifa).
Matokeo ya leo:
Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine!
Julio: Simba bado sana, mashabiki wasitegemee jipya watabaki vile vile tu kama msimu uliopita na misimu mingine iliyopita.
CC. Masuke, sembo, Katavi et al.
Timu zote zimecheza vizuri ila pengo la Okwi na Singano bado yanaonekana sijui tutayazibaje, maana kuna faulo zikitokea na Singano akipiga huwa ni zaidi ya asilimia 80 goli hata kona huwa anapiga vizuri sana; kwa Okwi hilo ndo sijaona kabisa mtu wa kuliziba labda yeye mwenyewe arudi au sijui muujiza gani ufanyike, yule msenegal ni wa kawaida sana.
Usijifariji kwa vijimaneno uchwara, wa kimataifa wapo na wa mchangani wapo hapa hapa Tanzania. Ukweli unauma, lakini hakuna jinsi!
Simba bado ipo mkuu Deo Corleon ila sio simba ile unayoifahamu wewe, Simba ya sasa hivi sio ya timu ya mpira wa miguu, simba ya siku hizi ni ya kundi la wasanii waimba taarabu na mipasho akina Hajji Manara, akina Hans Poppe na wasanii wengine.
Ukishangaa ya Danny Serrunkuma utayaona ya Papa Niang kutoka Senegal.
Ukweli ni kuwa ni timu moja tu Tanzania ndiyo inayojulikana na mamilioni ya Watanzania na Waafrika wengi kuwa ni ''Ya Kimataifa', lkn ni ukweli pia kuwa kuna timu inajitambulisha kwenye mitandao kuwa ni ya kimataifa!!!!
Basi farijianeni kwa maneno hayo (1 Thes. 4:18) <https://www.wordproject.org/bibles/sw/52/4.htm>
nakwakumpa taarifa kama alikuwa hajui timu zote hizo tulizokutana nazo kwa maana ya Al Ahly na Etoile du saleh sio za kubeza hata kidogo maana Al Ahly baada ya kututoa kwa taabu sana walienda kubeba ndoo ya shirikisho na hiyo Etoile wametinga nusu fainali,,,sasa ataona ni jinsi gani tulivyowapa upinzani mkubwa na wao kuponea chupuchupu kutolewa na timu ya wananchi,,nadiriki kusema.uzoefu wao na bahati viliwabeba mbele ya timu ya wananchi au timu ya kimataifa
mkuu Kwan msenegal kucheza?? maana nashangaa kuona ukimya toka kwa kwa wanaz wa mikia fc tofauti na jinsi walivyokuwa wanaipa promo hiyo mechi ya kirafiki utadhan ni fainali ya CAN
Hivi simba ipo?
Simba bado ipo mkuu Deo Corleon ila sio simba ile unayoifahamu wewe, Simba ya sasa hivi sio ya timu ya mpira wa miguu, simba ya siku hizi ni ya kundi la wasanii waimba taarabu na mipasho akina Hajji Manara, akina Hans Poppe na wasanii wengine.
Ukishangaa ya Danny Serrunkuma utayaona ya Papa Niang kutoka Senegal.
Wakuu zangu, kwa heshima na taadhima naomba niwataarifu, jana Azam FC walikua dimbani kupambana na Mwadui.. matokeo ni 1-1.
Simba SC ilipodraw na Mwadui mliongea sana.. Mara Simba bado sana.. Hivi Simba mpo?.. Mara Simba siku hizi ni kundi la waimba taarabu.. n.k
Nahitaji kauli zenu pia kuhusu mechi ya Azam na Mwadui.
First Eleven ya Azam FC iko Uturuki, Mwadui FC wamecheza na jina tu la Azam. Tusubiri ligi ianze utaniambia Mkuu.