Mechi ya kirafiki UVCCM dhidi ya BAVICHA !

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
594
Wana JF,

Greetings !

Natafuta wadhamini nimeshatuma maombi mbalimbali kwa wadau ili kupata fedha ya maandalizi na kuwalipa wafanikishaji wa mechi ya mpira wa miguu kati ya UVCCM dhidi ya BAVICHA uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam itakayofanyika siku ya sikukuu ya sabasaba, Wageni rasmi tunatarajia wawepo Mh Mwenyekiti wa CCM Taifa JK na Mh Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mbowe siku hiyo....!

Lengo ni kudumisha mahusiano mema kwani SIASA SIO UADUI mbona Wenyeviti wetu wa vyama wakikutana wanakumbatiana na kucheka alafu sisi ndio tuishi kwa bifu 27 / 7 ? Why ??

Naomba Bw Nape Nauye na Tumaini Makene mtusaidie kwa hili lifanikiwe..... Sote tunajenga nyumba moja tusinyang'anyane fito !

Naomba kutoa hoja....!!

The Fixer,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu The Fixer nadhan kova akipitia hii thread lazima akule kichwa koz unaonekana ni mchochezi tena mvunjifu wa amani. HOW?!!

Hivi unajua vizuri akili za MIUVCCM ile mivijana ilivyo na chuki moyoni, haitakosa kucheza na bisibisi na praizi kwenye pensi ya soka ili tu kwa makusudi yalianzishe tifu so usije ukashangaa Heche kala hata bisibisi ya masaburini..oooh!
 
Last edited by a moderator:

Kwani hizo bifu za UVCCM dhidi ya BAVICHA ni nani anazianzishaga na kuzishereheshaaaa.....?

Mbona Wenyeviti wao wakikutana ni full vicheko na ma- tabasamu ya kufa mtu bila kujali itikadi zao ?

Kwani ni nani anawachonganishaaa...? Ukaguzi utakuwa mkubwa sana pindi waingiapo viwanjani na hakuna atakayeleta matata na akaachwa kushughulikiwaa...
 
Last edited by a moderator:
Labda uvccm waruhusiwe kuingia na vyenye ncha kali
 
Ukicheza na machizi ya lumumba na ww si utaonekana chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…