Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea goli japo hakurenga goli, pia kama ilikua faulo kwanini hakutoa kadi nyekundu kwa Malone ambae alikua beki wa mwisho?
Je lengo lake halikua kuikoa Simba isufungwe?
Je lengo lake halikua kuikoa Simba isufungwe?