Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mkuu Kule Yanga wenye akili mmeongezeka mpo watatu sasa...Jk, Mzee na Manara na wewe...Timu zetu zikicheza nchi za Africa kaskazini hutendewa zaidi ya hayo.
Mimi ni Yanga Ila nakushangaa Mtanzania mwenzangu ulivyo mjinga .
Refa leo kazengua sana, ni kama aliambiwa ahakikishe Simba inashinda. Ukiona refa anatoka under escort uwanjani, hapo kuna ya kujiuliza.Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea goli japo hakurenga goli, pia kama ilikua faulo kwanini hakutoa kadi nyekundu kwa Malone ambae alikua beki wa mwisho?
Je lengo lake halikua kuikoa Simba isufungwe?
Wewe ni Mjinga then KILAZA MKUBWA Usiyejua Football Pimbi weeeeKama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea goli japo hakurenga goli, pia kama ilikua faulo kwanini hakutoa kadi nyekundu kwa Malone ambae alikua beki wa mwisho?
Je lengo lake halikua kuikoa Simba isufungwe?
Ubaya ubwela.....Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea goli japo hakurenga goli, pia kama ilikua faulo kwanini hakutoa kadi nyekundu kwa Malone ambae alikua beki wa mwisho?
Je lengo lake halikua kuikoa Simba isufungwe?
Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea goli japo hakurenga goli, pia kama ilikua faulo kwanini hakutoa kadi nyekundu kwa Malone ambae alikua beki wa mwisho?
Je lengo lake halikua kuikoa Simba isufungwe?
WELL SAID MASTERTimu zetu zikicheza nchi za Africa kaskazini hutendewa zaidi ya hayo.
Mimi ni Yanga Ila nakushangaa Mtanzania mwenzangu ulivyo mjinga .
Kule Tripoli refa alitoka under escort na Ahl Tripoli walipigwa fine, kwa waarabu refa kutoka under escort siyo ajabu na wanapigwa sana fine.Refa leo kazengua sana, ni kama aliambiwa ahakikishe Simba inashinda. Ukiona refa anatoka under escort uwanjani, hapo kuna ya kujiuliza.
Waarabu kwa ujumla hata mechi za ligi tu hawakawii kupigana, kwetu hili ni somo jipya.Kule Tripoli refa alitoka under escort na Ahl Tripoli walipigwa fine, kwa waarabu refa kutoka under escort siyo ajabu na wanapigwa sana fine.
Kama ulicheki mechi ya Yanga Vs Mc Alger ilichezwa bila mashabiki wajua sababu nini?