Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Jana nilikuwa naangalia mechi ya ligi {VPL} kati ya Gwambina na Dodoma Jiji. Kilichonifadhaisha ni kitendo cha mchezaji {nadhani wa Gwambina} kuumia na kubebwa mzegamzega na mtu mmoja kutolewa uwanjani, niajiuliza wale wahudumu wa huduma ya kwanza hawakuwepo {First Aid}?
Hivi mechi hiyo ingeshirikisha timu za Yanga au Simba ingekuwaje?
Kama mchezaji angeumia kwa magonjwa ya moyo kwa mfano ingekuwaje?
Hivi mechi hiyo ingeshirikisha timu za Yanga au Simba ingekuwaje?
Kama mchezaji angeumia kwa magonjwa ya moyo kwa mfano ingekuwaje?