Mechi ya ligi kukosa huduma ya kwanza inakuwaje?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Jana nilikuwa naangalia mechi ya ligi {VPL} kati ya Gwambina na Dodoma Jiji. Kilichonifadhaisha ni kitendo cha mchezaji {nadhani wa Gwambina} kuumia na kubebwa mzegamzega na mtu mmoja kutolewa uwanjani, niajiuliza wale wahudumu wa huduma ya kwanza hawakuwepo {First Aid}?

Hivi mechi hiyo ingeshirikisha timu za Yanga au Simba ingekuwaje?

Kama mchezaji angeumia kwa magonjwa ya moyo kwa mfano ingekuwaje?
 
Mpira ni mchezo wa kufakufa,ukikutana na Afande El Fadhil wa Prison akainua mguu wa uso lazima ukate moto.
Mie nawaomba wahusika waziweke timu zote sawa. Angalia mechi zinazohusisha Yanga au Simba na Azam kwa mbali, huduma ya kwanza haikosekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…