Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sopu na Dickson JobWafungaji kwa upande wa Tz ni akina Nan mkuu??
Soup na Job dick penati baada ya Sopu kuangushwa.Wafungaji kwa upande wa Tz ni akina Nan mkuu??
Yule mtanzania mwenye asili ya Kongo yule ni tatizoIla kama Taifa stars itaendelea kucheza 'kifather' kule mbele, basi tujiandae tu kuipa Uganda tiketi ya kufuzu kwenye mchezo wao wa mwisho. Kwenye mechi ya marudiano, ni Sopu peke yake ndiye aliye onesha fighting spirit!
Kibu Denis kama kawaida yake! Alikuwa anaruka ruka tu kwa dakika zote alizocheza! George Mpole naye utafikiri amepigwa na kitu kizito kichwani! Siyo yule George Mpole wa Geita Gold!