Mnajuaga kujifariji lakinii.... Si Nasikia hata ubingwa mnao nyie kwa zile points za......Simba nguvu moja [emoji123] [emoji12]
Simba nguvu moja [emoji123] [emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha
Umeamua kujikandia eeehh
Hapana aisee sitaweza vumilia Mungu atusaidie tu jaman [emoji120]Hahaha
Hakuna kwenda mahali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnajuaga kujifariji lakinii.... Si Nasikia hata ubingwa mnao nyie kwa zile points za......
Mpira unachezwa uwanjani mkuu achana na hizo mambo za wahenga ujue
Huyo Mungu unamkumbuka kwenye mechi tuu eeehh... PoleHapana aisee sitaweza vumilia Mungu atusaidie tu jaman [emoji120]
rudi kwenye jukwaa lako la chit chatMpira unachezwa uwanjani mkuu achana na hizo mambo za wahenga ujue
Sasa sindo mambo zenu???uhenga ndo unawafanya msipate vikombe.Mpira unachezwa uwanjani mkuu achana na hizo mambo za wahenga ujue
Hapana dada Mungu namkumbuka kila siku ujue ila lazima tumuombeHuyo Mungu unamkumbuka kwenye mechi tuu eeehh... Pole
Sawa mkuu maxrudi kwenye jukwaa lako la chit chat
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Masikini simba yangu [emoji134] yaan naona tunafungwa acha nijiandae kisaikolojia