Nyie mmepandia viaz enheeHahaha
Waache washangilie tuta bhanaa
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mbona nyie hamjafunga hayo matuta mkajishia kupanda viaz
Ahsante mrithi wa sheikh yahya.hongereni mkuu kwa ushindi WA bahati,kwa timu yenu hiyo ubingwa lands muufate FIFA tena
Sawa lakini ndio tumeshashindaTatizo hutaki kuambiwa ukweli... Naamini katika dakika 90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kanunaaaaWozaaaaaaaa.....!!!!!!!!
My own brand!!
AiseeeeAhahhahhah tutampokonya jina letu we muacheee
Wamepoteana ujueDaaaah Simba wametufrahisha sana leo maana matopeni hapa cwaoni kabisaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nyie hamjafunga hayo matuta mkajishia kupanda viaz
Ebu uko mxxxiuuueHahaha
Hongeraa kwa kutoka msituni, naona umejianika live
Maneno yao ya wakosaji mkuu unafkili wangeshinda wao kwa penalt kungekuwaje humu watuache aiseeYanga mumefungwa acheni shombo za ovyo humu. Tena sema tu simba stricking force mbovu mngeoga za kutosha nyie.
[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndio tumeshashinda jaman mshkaji wangu [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee
Hatujazoea kubahatisha.... Na tungebahatisha wala tusingekuwa na kelele.... Ila hongereniMbona nyie hamjafunga hayo matuta mkajishia kupanda viaz
.....ushindi wa matuta ni ushindi wa kijinga
Dk 90
Kwani nani amebishaaSawa lakini ndio tumeshashinda
KWEL hata Mie naona hamjazoea kabisa kunahatisha yaanHatujazoea kubahatisha.... Na tungebahatisha wala tusingekuwa na kelele.... Ila hongereni