Mwache bhana... alikuwa kashamaliza machunguKwahyo nyie hamkuwwpo kwwnye hzo dk 90 uwanjan
Jaman shunie hivi vi avatar vyako hatari tupu........hahahahahYaan nafurahi mnavyojifariji [emoji3]
Waache wanune tuu kwakweli tumewanyoa hawa vyuraa[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Wamenuna mnuno si wa tanzania hiiii pole yao aisee
Hebu tulia uandike vizuriMama tshitimbiiii sikia Leo sie t ulikua tunafanya mazoez tu pale ndio maana tukawastah na lile den la kodi tungewapa na kipigo hevi mngekuwa na hali mbayaa
Tena wakalale kabisaa wasijibaraguze hapa na aibu zaoManeno yao ya wakosaji mkuu unafkili wangeshinda wao kwa penalt kungekuwaje humu watuache aisee
Waache wanune tuu kwakweli tumewanyoa hawa vyuraa[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msalimie piaAnakusalimia
Simba raha sana atiiii
Asante mkuu si unajua wenye sura za baba tunajifariji na avatar nzuri we ni yanga mkuu au simbaJaman shunie hivi vi avatar vyako hatari tupu........hahahahah
Woyoooooooooooooo[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]Simba raha sana atiiii
Teh teh
Poleni yanga
Mnajifariji eti mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama tshitimbi woiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]