Nandio tumeanza na msimu wa ligi ni.mwendo wa kichapo tuu mtani jiandae.Wamepoteana ujue
Unajua mi Siwaelewi Kwani Simba Si ndo kachukua ngao Ya Hisani Ama!?
HahahahahMbona nyie hamjafunga hayo matuta mkajishia kupanda viaz
hahaha mkuu ningekuwa mvaa ndala huu uzi ungenipitia mbalAsante mkuu si unajua wenye sura za baba tunajifariji na avatar nzuri we ni yanga mkuu au simba
Ewaaaaa kumbe we mjanja eenhhahaha mkuu ningekuwa mvaa ndala huu uzi ungenipitia mbal
Yaani ile penalty ya Pili yanga walopata Yaani Sikio lote Nilihisi linaachana na kichwa...Walivyoshinda Simba Nikaona Ametamka kiutangazajiHaha huyo ni shabiki wa kutumainiwa wa yanga ,shabiki kindaki ndaki
Ukitaka kukereka zaidi ingetokea yanga wamepata bao sasa namna atakavyoitamka hiyo goooooooooal na mbwembwe kibao ,
Yaani nakwambia mfa maji hachi kutapata hawa nikuwavumilia tuu c tumewachumbia tayari wawe wapole sasa cc ndio maboss wao.Unajua mi Siwaelewi Kwani Simba Si ndo kachukua ngao Ya Hisani Ama!?
Sa Mpka wamekabidhiwa Kombe si ni wameshinda Ama!?
Na kushinda maana Yake Wameifunga Yanga Au ni Yanga ndo wameifunga Simba!?
Ata kama ni Penalty Si ni Magoli ama!?
Na waliofunga si ndo Hao Wahenga Ama!?
Maswali ambayo najiuliza kwa Usiku wa leo....
Simba Anaunguruma....
Young Africans
Hahahahaha Wanataka Kupasua Upepo Washasahau Aupasuliki Uo ukishika kasi Umeshika Uchafu Wote unakaa Pembeni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu nawauzi na ushindi wetu wa penalt
Kuna Mtu Leo hataki Kupokea Simu yangu...Lol!! Nataka Nimpe Pongezii ila Nahisi Amezima Uko AlikoYaani nakwambia mfa maji hachi kutapata hawa nikuwavumilia tuu c tumewachumbia tayari wawe wapole sasa cc ndio maboss wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaano dogo anapozzi c la nchi hii safi sana yanga wamelala mapema leo
Raaaaa simba mnyaaaamaaaaKwahyo nyie hamkuwwpo kwwnye hzo dk 90 uwanjan