Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Hivi hiyo ngao ndivyo walivyoandika au..Karia Mungu anakuona
 
BONGO BAHATI MBAYA .
simba kateni rufaa ........ya kombee hilo.
Yanga wame Dukuwa kombe lenu.
[HASHTAG]#shield[/HASHTAG] .........wakaaandika [HASHTAG]#sheild[/HASHTAG]
NDALICHAKOO PITIA NA HUKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheeee Kheeeeee shabiki wa kweli asiyetetereka. Ameanza kuipenda Yanga tangu akiwa tumboni!

Uzuri sijaipenda yanga jana wala juzi hivyo kama kuumia nshaumia sana haya ni marudio tu.

Nipo aisee na wala siondoki
 
Hiyo ngao fake mkuu

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Bashite kigwagala walikuwa uwanja hata nao hawakuona hilo kosa?ziro ziro kweli viongozi wa ccm bure kabisa


Swissme
 
BONGO BAHATI MBAYA .
simba kateni rufaa ........ya kombee hilo.
Yanga wame Dukuwa kombe lenu.
[HASHTAG]#shield[/HASHTAG] .........wakaaandika [HASHTAG]#sheild[/HASHTAG]
NDALICHAKOO PITIA NA HUKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahahahaha wabongo tumeshindikana siku zote hatupendi kuumiza vichwa, tunapenda sana vitu rahisi-rahisi
 
Napita; kama Florian Kaijage ; alifukuzwa kisa wimbo wa taifa

Hii aibu haivumiliki

Raisi mpya tunampatia wiki moja, atumbue mtu . Kama ataki atakuja jutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…