Mechi ya Nigeria na Tanzania U23 kuelekea michuano ya Olimpiki imeahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Benin City na kufanya uwanja ujae maji. Baada ya ukaguzi, waamuzi walikubaliana kuwa mechi ni vyema iahirishwe. hivyo mechi hiyo itakuwa siku ya jumapili (kesho).
Tumefungwa goli 3 - 0, hivi kweli mlitegemea timu ishinde huko? kama tumeajili makocha wawili kwa nini hawakupewa jukumu hilo? badala yake timu akapewa mtoto si halali.