Mechi ya Simba dhidi ya alhy tripoli

3000 na Ahmed kasema bado zipo za kusaza ni kama Wana ubaya ubwela wanaiogopa mechi
 
#hiyo elfu 3000 ndiyo kiingilio au TIKETI zilizopo?
Kiingilio mkuu we si umeuliza kiingilio na ukinunua jersey kwa sanda pale kariakoo unapewa na tiketi Bure ya 3000 jitahidi mwanasimba mjaze lupaso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…