NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika kwa mechi za mbeya city na prisons.
Timu inabidi ianze safari ya masaa mawili na nusu kwa basi siku ya mechi kuwafata bush hao Ihefu, hiyo safari pekee ni kupoteza muda sana kwa wachezaji.
Ikipendeza uwanja wa kutumika uwe wa hapo hapo Mbeya mjini maana hauna shida,