Makambako siku hizi ni masaa manne.Masaa mawili na nusu unakwenda makambako?
Pale ni lisaa limoja umefika Rujewa na Ubaruku
Timu ni ya Wana Mbarali kutoka bonde la Usangu yalipo mashamba ya mpunga.
Wenyeji kwa kabila ni Wasangu
NB. Wakicheza Mbeya mjini unataka mashabiki wao wateseke?
Kwa sasa hivi hiyo lisaa limoja ni kama kutoka Mbeya Mjini hadi Chimala labdaMasaa mawili na nusu unakwenda makambako?