Mechi ya Simba na TP Mazembe Yakatishwa TBC 1

Mechi ya Simba na TP Mazembe Yakatishwa TBC 1

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Jamani labda Tv yangu ina matatizo naona mechi imekatishwa ghafla haionyeshwi naona Matangazo na maongezi ya Commentetars tu.
 
nafikiri simba ndo wameomba usionyeshwe ili marudiano watu waingie wengi uwanjani.kiwango cha simba kinakatisha tamaa...
 
nafikiri simba ndo wameomba usionyeshwe ili marudiano watu waingie wengi uwanjani.kiwango cha simba kinakatisha tamaa...

watu wa yanga utawajua kwa mitizamo yao tu. hawana uzalendo kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jamani tuwe wazi na wakweli...Simba walianza vyema mchezo...but as time goes wakaanza kupotezana kabisa,kwa kweli tunahitaji nguvu ya ziada sana kwa soka letu.Simba hawana stamina,wavivu na hawajipango...
 
Nilibadili chanel kuepuka aibu ile kuu. Simba kiwango hakitizamiki.
 
Truth be told... Hatupo serious na michezo... who am I kidding? Hatupo serious na chochote tunachofanya. Ujanja wa bure tu.:embarassed2:
 
Back
Top Bottom