Matope JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 892 Reaction score 683 Mar 20, 2011 #1 Jamani labda Tv yangu ina matatizo naona mechi imekatishwa ghafla haionyeshwi naona Matangazo na maongezi ya Commentetars tu.
Jamani labda Tv yangu ina matatizo naona mechi imekatishwa ghafla haionyeshwi naona Matangazo na maongezi ya Commentetars tu.
figganigga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 25,724 Reaction score 55,906 Mar 20, 2011 #2 nafikiri simba ndo wameomba usionyeshwe ili marudiano watu waingie wengi uwanjani.kiwango cha simba kinakatisha tamaa...
nafikiri simba ndo wameomba usionyeshwe ili marudiano watu waingie wengi uwanjani.kiwango cha simba kinakatisha tamaa...
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Mar 20, 2011 #3 figganigga said: nafikiri simba ndo wameomba usionyeshwe ili marudiano watu waingie wengi uwanjani.kiwango cha simba kinakatisha tamaa... Click to expand... watu wa yanga utawajua kwa mitizamo yao tu. hawana uzalendo kabisaaaaaaaaaaaaaaa
figganigga said: nafikiri simba ndo wameomba usionyeshwe ili marudiano watu waingie wengi uwanjani.kiwango cha simba kinakatisha tamaa... Click to expand... watu wa yanga utawajua kwa mitizamo yao tu. hawana uzalendo kabisaaaaaaaaaaaaaaa
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,343 Reaction score 2,527 Mar 20, 2011 #4 Jamani tuwe wazi na wakweli...Simba walianza vyema mchezo...but as time goes wakaanza kupotezana kabisa,kwa kweli tunahitaji nguvu ya ziada sana kwa soka letu.Simba hawana stamina,wavivu na hawajipango...
Jamani tuwe wazi na wakweli...Simba walianza vyema mchezo...but as time goes wakaanza kupotezana kabisa,kwa kweli tunahitaji nguvu ya ziada sana kwa soka letu.Simba hawana stamina,wavivu na hawajipango...
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,044 Mar 20, 2011 #5 Nilibadili chanel kuepuka aibu ile kuu. Simba kiwango hakitizamiki.
B Bongokid Member Joined Nov 14, 2007 Posts 53 Reaction score 22 Mar 21, 2011 #6 Truth be told... Hatupo serious na michezo... who am I kidding? Hatupo serious na chochote tunachofanya. Ujanja wa bure tu.:embarassed2:
Truth be told... Hatupo serious na michezo... who am I kidding? Hatupo serious na chochote tunachofanya. Ujanja wa bure tu.:embarassed2: