kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kwenye app ya live goal,ratiba inaonesha mechi inachezwa saa tisa alasiri,ninawahi sehemu ya kuangalia mpira,nakuta uchambuzi wa mechi ndio unaendelea,kwa nini mnakuwa waswahili waongo waongo hadi kwenye mitandao inayoaminika?Kwani mngeandika saa kumi mgeadhibiwa?
Ninyi wabongo acheni uswahili uswahili mnaletea watu umaskini!Nimeacha kazi muhimu nakuja kuta mechi bado!Mnaboa sana!
Ninyi wabongo acheni uswahili uswahili mnaletea watu umaskini!Nimeacha kazi muhimu nakuja kuta mechi bado!Mnaboa sana!