Mechi ya Simba na Yanga Uwanja wa Amani.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Wachezaji wamevaa jezi zenye nembo ya Kilimamjaro Premium Lager.
 
images
 
Vipi Ng'wanangwa Mbona umelichakachua hili jukwaa?

What happened to Sport & Entertainment?

kazi na dawa. mods watafanya kazi yao.

lakini hii nadhani ni zaidi ya mpira au mechi.

ni ishu ya siasa za zanzibar kupiga vita ulabu na matangazo yanayohusu ulabu katika mambo yao.
 
Thanks Men, Nimeipenda.

Umenikumbusha sitaki nataka.

Ndiyo maana hapa A-town kitimoto haziishi mwezi mtukufu wa Ramadhani.
 
Hongera SIMBA.

Yanga napenda bendera yao tu, timu hapana.

HONGERA CHAIRMAN RAGE!
 
Wachezaji wamevaa jezi zenye nembo ya Kilimamjaro Premium Lager.

Imekuwaje tena.. nembo ya Kilimamjaro Premium Lager kwenye mapinduzi ya Zanzibar?? Kuna wakati footbal association ya ZNZ (FAZ) walipiga marufuku matangazo ya mashirika ya pombe!
 
SIMBA WAMEIPASUA NDALA 2-0.
Nadhani utaibuka mgogoro mkubwa huko yanga!
 
kazi na dawa. mods watafanya kazi yao.

lakini hii nadhani ni zaidi ya mpira au mechi.

ni ishu ya siasa za zanzibar kupiga vita ulabu na matangazo yanayohusu ulabu katika mambo yao.

Hivyo Simba na Yanga ni klabu za Zanzibar?
 
Imekuwaje tena.. nembo ya Kilimamjaro Premium Lager kwenye mapinduzi ya Zanzibar?? Kuna wakati footbal association ya ZNZ (FAZ) walipiga marufuku matangazo ya mashirika ya pombe!
Kwa vilabu vya Zanziba!!
 
hongera simba sport club, hakika leo siku yangu imekamilika baada ya kuwaibisha ccm
 
Tumechezesha kikosi cha pili kwa kuangalia uwezo wa wachezaji
 
Back
Top Bottom