Tumechezesha kikosi cha pili kwa kuangalia uwezo wa wachezaji
Sawa, lakini haijalishi. Historia itaandikwa milele kwamba Simba iliifunga Ndala 2 - 0. Hata Simba walivyochezesha kikosi cha pili Kirumba na kulala 1-0 historia itaandikwa wamefungwa.
Kombe lenyewe mshindi anapata m.3 ndo maana hatukutilia mkazo kiviiiiiiile kama mlivyo kaza nyie.
Sie ilikuwa sehemu ya mazoezi tu kwa ajili ya msimu ujao wa ligi
Nilisikia Manji ile kodi anayodaiwa kaamuwa kutowa kumuulia mnyama? Nasikia katowa miloni 50.
Jana ulikuwa hujui kama kikosi chenu ni B, naona ulitamba sana.
Wachezaji hawajalamba hiyo m.50 ni magazeti tu yalikuza.
Kwani hukuona hakukuwa na ushindani licha ya kuchezesha timu B mmeshinda kutufunga magozi 5 tutakutana kwenye ligi