Umefika muda hizi timu kukubali kuwa mchezo wa soka sio maonesho ya mazingaombwe.
Watu tunapenda soka sio kuzidiana nguvu za kichawi.
Hivi vizee vinavyotukuza uchawi tuvipige marufuku katika soka.Sio tunachekea vizee hivi hadi vinaalikwa ikulu kwenda kufuturu.
Tunapaswa kubadilika sana
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app