Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

If wishes were horses begars could ride!
 
Al ahly na Simba zote ni timu zenye mizizi na uislam , Imani ambayo haina uhusiano wowote na paka
 
Hongera sana Mkuu Kumbe JF bado kuna vichwa vya maana.

Yote ya yote nikupongeze kwa andiko zuri.

UBORAA WA KIKOSI CHA SIMBA UNATIA MASHAKA MAKUBWA MNO

WACHEZAJI WA SIMBA NI DHAIFU MNO, MKWECHE KUWEZA KUSHINDABA NA ALHLY
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Sijui mtoa mada anajisikiaje saa hizi.

Timu pekee iliyofungwa hadi sasa karika ushindani wa kombe hili kwa hatua hii.

Kiuhalisia ina maana hadi sasa Simba ndio timu dhaifu kuliko zote.

Very pua' uzi alijisemea stivu nyenyere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…