Mechi ya Simba vs Ruvu Shooting Yasogezwa Mbele

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Mechi ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe kesho Jumamosi uwanja wa taifa Dar es salaam imeahirishwa hadi keshokutwa, Jumapili, March 22, 2015.

Mabadiliko hayo ni kutokana na bodi ya ligi kuifanyia marekebisho ratiba iliyokuwepo kwa lengo la kuiboresha.

Masau Bwire ndiye chanzo
 
Mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Ruvu Shooting iliyokuwa ipigwe kesho, sasa itachezwa keshokutwa Jumapili.

Ratiba inaonyesha mechi hiyo ilitakiwa kuchezwa Jumamosi, lakini taarifa zimetolewa kuwa itachezwa Jumapili.

Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amethibitisha hilo kuwa mechi hiyo sasa itachezwa Jumapili.

"Kweli tumepata taarifa kwamba mechi ni Jumapili, hivyo tutakutana na Simba siku hiyo," alisema Masau.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…