MECHI YA SIMBA VS YANGA WACHEZAJI WOTE WAPIMWE kabla ya mechi

MECHI YA SIMBA VS YANGA WACHEZAJI WOTE WAPIMWE kabla ya mechi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii ni katika kuleta nidhamu ya mpira uwanjani ilionuka ama inayoendelea kunuka kwa kumruhusu mchezaji kuvuta majanii siku za mechi....nasema hivi nikimaanisha tumeona wapo maarufu wengine wamrudi nje kwa kukosa kupata ladha ya majani ambayo huwapa nguvu na kucheza mira mzuri kupita kiasi.........Wapendwa TFF tumefika wakati tueke nidhamu mbele tuwe na wachezaji wenye ubora na si bora wachezaji..kama mtaacha haya mambo yanaendelea ligi kuu hata haya ma ligi ya watoto mtaanza kukutana na wavuta majani na kuishia worse...nafikiri imefika wakati hasa kwa kuanza na mechi hii kila mchezaji apimwe kabla ya kuingia uwanjani na ripot iwe huru watakaokutwa na harufu za majaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiWachezaji wote waliobahatika kucheza ligi kuu mwaka huu nawatakia heri na fanaka lakini niwape moja nidhamu muhimu sana ukimheshimu mtu utajiheshimu na mwenyewe uwezi kuvuta bangi ovyo just sababu tanzania awapimi...tuwe na heshimu ili tuheshimike
 
Kupima afya its one ishu,but kuna hizi safari za zanzibar ambazo kila mechi ya simba na yanga ikifika lazima waende zanzibar kufanya mazoezi ya kuruka moto sasa kuna soka hapo mkuu,wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom