Mechi ya Singida Big Star Vs Simba inachezwa lini?

Mechi ya Singida Big Star Vs Simba inachezwa lini?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini?
 
Sielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi.
 
Sielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi.
Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizo
 
Match fitness itaathiri ubora wa ligi kuu ya Tanzania bara.

Bila mechi kuzingatia ratiba zilizopangwa kwa mechi mfululizo kuchezwa, wachezaji wa timu za Tanzania hawajitumi ktk kufanya mazoezi ya ziada hivyo kiwango cha wachezaji hushuka.
 
Back
Top Bottom