Ulikuwa umeshafika uwanjani?Mi nilijua inachezwa leo,Sasa sjui imeahirishwa,na je itachezwa Lin ?
Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizoSielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi.
Mlicheza na mbuni.Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizo
kwani Simba aliposafiti wiki jana Yanga mechi yao alicheza na nani?Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini?
Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi.Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini?
Hata suala la yanga kupata sare dhidi Al hilalMajibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi.
Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi.