Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Watu wa Soka,
Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua).
Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe yetu. Vinginevyo tungepata aibu kama waliyoipata jamaa wa jangwani mwaka jana, teh!
Kama ulipata nafasi ya kutazama mechi, ni kipi hasa kilikuvutia?