Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
profile zao zinakuhusu nini wewe ???? muda wa kufatilia profile za watu ungetafuta bando uache kutumia freebasicsNaomba kufahamu profile za hao wa Brazil yule Cruiz wa moto sana
Kilichonivutia ni kuona makolo wamepata mrithi wa nafasi ya pili msimu huuWatu wa Soka,
Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua).
Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe yetu. Vinginevyo tungepata aibu kama waliyoipata jamaa wa jangwani mwaka jana, teh!
Kama ulipata nafasi ya kutazama mechi, ni kipi hasa kilikuvutia?
View attachment 2315406
Aisee nashukuru umeliona hili au waweke zege tu linatosha si wana udhamini na simba cement hawa? halafu pia waweke benchi.zuri pale uwanjani maana hawa tunategemea top 4 msimu ujaoombi langu , ongea na wahusika wa uwanja kule pembeni wamwagie moramu au mchanga lile vumbi wameacha la nini sasa? anyway hongereni sana lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzenu wamewapiga wale waliowapiga nyie,Nyie ndio mtachukua nafasi ya ile simba mbovu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajua hawajui.
Gyan vpSINGIDA BIG STARS SQUAD 2022/2023
GOALKEEPERS
DEFENDERS
- Metacha Mnata
- Benedict Haule
- Abou Khomen
midfielders
- Juma Abdul
- Yassin Mustapha
- Paschal Wawa
- Shafik Batambuze
- Dario Federico
- Paul Godfrey
- AbdulMajid Mangalo
Forwards
- Said Ndemla
- Deus Kaseke
- Azizi Andambwile
- Gomez
- Daudi Name
- James Kotei
- Amis Tambwe (C)
- Meddie Kagere
- Harrison
- Peterson Cruz
- Kelvin Sabato
Ndio wameipandisha timu daraja.batambuze na hamis tambwe?? mko serious kweli??