Mechi ya soka kuchezwa saa tisa mchana ni ufumbuzi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Tumeisha zowea kuona mbinu za watawala wa vilabu vya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa za mashindano kupanga kuanza saa tisa mchana hapa nyumbani. Hii imeiambukiza timu ya Azam, kama ni kuwakomoa wapinzani eti ni joto mbona hatufiki mbali? Hebu tubadilike tucheze soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…