Mechi ya Taifa STARS na BRAZIL mapaparazi

Mechi ya Taifa STARS na BRAZIL mapaparazi

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Posts
1,400
Reaction score
2,010
Oyaa swali la kizushi hivi ni tatizo la vifaaa au maujuzi mbona mishemishe za mapaparazi wetu ndani ya uwanja zilikuwa tofauti


PAPARAZI WAO.....
paparazi wao.jpg


PAPARAZI WETU
paparazi wetu.jpg
 
Oyaa swali la kizushi hivi ni tatizo la vifaaa au maujuzi mbona mishemishe za mapaparazi wetu ndani ya uwanja zilikuwa tofauti.

Mkuu hapo sijakuelewa hata kidogo...mi naona picha ya kwanza inaonesha paparazi wakiwa kazini (ndani ya uwanja) ilhali picha ya pili inaonesha paparazi wakiwa nje ya uwanja, labda kabla hawajarusiwa kuingia ndani.
 
si unaona njaa ilivyowatandika hapo, hawajui hata kinachoendelea, waje waungue na jua hapo wakapate mshahara mdogo na kama hawajapata rushwa kwa wanaotaka habari itoke ndo basi tena...maisha bora kwa kila mtz... mabegi yamechokaaa, nguo zenyewe walizovaa zimechokaaa wanashindwa kwenda pale mlimani city wakanunue viwalo vya bei ya kawaida tu vya kutokea kwa watu..hawaoni tofauti na hao wenzao kila kitu kiko juuuuu, sijui hawapati mshahara au washamba...vifaa ndo hawana, vikamera vya laki tatu ndo wanavyo, kila kitu backward, hivi makampuni wanayofanyia hawawapi vifaa?
 
nimeona leo kwenye luninga za huku ulaya, aisee walionyesha brazil ikitutandika tano moja, kama ndo hivyo kweli kanchi ketu watu wamekaona...watu walikuwa wanashangaa kama tz ina uwanja mzuri kiasi icho...palipendeza kwakweli..
 
stars+001.jpg


Hawa ndo mapaparazi wetu wa Bongo siku ya game ya Taifa stars dhidi ya Brazil wakiwa tayari kufotoa matukio mbalimbali pale dimba la Taifa.

stars+005.jpg


Hawa ndo mapaparazi wa wenzetu wakichukua nyago mbali mbali ndani ya dimba la taifa wkt gemu inaendelea.

Kwa kuangalia tu hapo naona wakuu mnaweza kutusaidia hivi mapaparazi wetu wanashindwa kumudu kununua mitambo ya kisasa ili wawe wanapata taswira za ukweli na uhakika? Na wakaachana na kutumia camera za kwenye vipaimara na komunio zamani tulikuwa tunaita wizin
 
Kwa pesa wanayotufyatulia, wana uwezo kabisa wa kununua hiyo mitambo, lakini shida ni kuwa hiyo mitambo inahitaji mahesabu,english etc.

Sasa sisi mtoto akifeli ndio anakwenda huko, unaona wote hapo nia kama wanaganga...... Wenzao wana shule mpaka wengine wana vipara. Hao wetu hata uwalipe shilingi ngapi hawawezi kwenda kwenye mitihani/interview za professional photographers.
 
Mkuu,

Hao wa Brazil wanaenda na timu mpaka SAUZI kwahiyo wapo kikazi zaidi. Hawa wenzetu nadhani walienda na "vitendea kazi" iwe sehemu ya kiingilio :A S tongue:
 
Da! inasikitisha lakini ndo hali halisi.
Kimsingi hizo kamera za wenzetu ni expensive sana ukilinganisha na zetu.
Kwa hali halisi ya sasa, kwa mpiga picha profesional ni lazma hizo kamera za kisasa zinahitajika kwa kazi yake, halikwepeki.
Lakini waandishi wetu wamekalia majungu tu. hubu wachek hapo.
 
Jamani inasikitisha sana.......sasa tunawasaidieje?
 
stars+001.jpg


Hawa ndo mapaparazi wetu wa Bongo siku ya game ya Taifa stars dhidi ya Brazil wakiwa tayari kufotoa matukio mbalimbali pale dimba la Taifa.

stars+005.jpg


Hawa ndo mapaparazi wa wenzetu wakichukua nyago mbali mbali ndani ya dimba la taifa wkt gemu inaendelea.

Kwa kuangalia tu hapo naona wakuu mnaweza kutusaidia hivi mapaparazi wetu wanashindwa kumudu kununua mitambo ya kisasa ili wawe wanapata taswira za ukweli na uhakika? Na wakaachana na kutumia camera za kwenye vipaimara na komunio zamani tulikuwa tunaita wizin

Mukubwa hilo li lens linacost $15,000 peke yake........PRADO hiyo.....Whiz in umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom