Hawa ndo mapaparazi wetu wa Bongo siku ya game ya Taifa stars dhidi ya Brazil wakiwa tayari kufotoa matukio mbalimbali pale dimba la Taifa.
Hawa ndo mapaparazi wa wenzetu wakichukua nyago mbali mbali ndani ya dimba la taifa wkt gemu inaendelea.
Kwa kuangalia tu hapo naona wakuu mnaweza kutusaidia hivi mapaparazi wetu wanashindwa kumudu kununua mitambo ya kisasa ili wawe wanapata taswira za ukweli na uhakika? Na wakaachana na kutumia camera za kwenye vipaimara na komunio zamani tulikuwa tunaita wizin