Hakuna website inaonyesha hiyo mechi, kuangalia scores Google footlive.com ndo wanaupdates
Ndugu tunaposema kiswahili kiondolewe shuleni tufundishwe in English tuweze kutembea duniani huwa tunamaanisha, ukikaa bongo miaka yako yote unaifahamu Dunia only 2%!
Mfano bongo Kuna tamthilia ya Ottoman ambayo haielweki duniani tamthilia zinazotesa ni kama Power, Blindspot, The Chi, Undercover, The Medici , Spartacus, The Tudors na Vikings.
Hivi wajua ulaya kuna nchi usafiri wa ndege ni rahisi kuliko treni au bus?kwahiyo kupanda ndege ni basic sio luxury!
Haya siku ingine tafuta mpira wowote online kupitia websites zifuatazo
1. Firstrow sports ( hii ina domains nyingi)
2. Stream hunter ( hii pia Ina domains nyingi).
3. Stream2watch.
Hizi ni websites za Livestreams bando lako tu hasa Halotel nasikia ni nzuri zaidi. Japo Huwa Kuna trick ya kuyakata matangazo Ili ufikie page ya ball huwa kuna alama za x zimejificha unatulia unazitafuta unazikata kwa haraka na umakini moja hadi ingine hadi matangazo yanaisha unaenjoy ball! Ukishindwa kung'amua hiyo technic hutaona ball! Utahangaika siku nzima!labda unitumie nauli nije mwenyewe!
Bongo tuko Nyuma Sana! Hizi ni websites tunatumia ulaya kuangalia mechi yoyote jaribu kibongobongo internet ikiwa fasta utaenjoy mechi zote kubwa hata EPL , world cup na zingine zote na hutaenda Tena vibanda umiza!
One day niliangalia Uganda vs Taifa Stars kupitia hizi websites mechi ilichezwa Libya tukawapiga moja, mechi hii haikuoneshwa huko bongo!