Haya mambo ya permutations waachieni wazee wa namba....hapa kwemye fabo tuangalia unashinda vipi nyumbani.Kila kitu kinawezekana ni kocha na wachezaji kizichanga karata zao vizuri, pia sijajua Tunisia na Eq G yupi atakua nyumbani, kama Tunisia atakua home pia inaweza kua advantage kwa stars
Utani huu sasa wee kocha lii timu halichezi kabisa....hapa way forward ni kwenda kumpigia magoti mzee mwinyi afute kauli yake ya kichwa cha mwendawazimu kabla hajafa mzee wa watuThis coach have forward way to go but inahitaji miaka mingi
Yani mechi ulizowakuta ndani sonso na mwantika jua ni amunikeBORA AMUNIKE,timu ya amunike ilikua inafika golini na shot on targrt walikua wanapiga
kwahiyo alizofungwa alikua anapanga yeye kikosi?thibitisha kama alikua anapangiwa kikosi
Tunisia atakuwa nyumbaniKila kitu kinawezekana ni kocha na wachezaji kizichanga karata zao vizuri, pia sijajua Tunisia na Eq G yupi atakua nyumbani, kama Tunisia atakua home pia inaweza kua advantage kwa stars
hizo ni story tu za kwenye vikao vya kahawa,Amunike hajawahi kupangiwa kikosiYani mechi ulizowakuta ndani sonso na mwantika jua ni amunike
Ila ukikuta yondani,nyoni & agrey agrey na tshabalala jua kasaidiwa