Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Afadhali uyujamaa mwenye jezi namba 8 wa Tunisia ametoka, nimchezaji hatari hatari sana. Kidogo tutapumua.
 
Kwan ngap ngap hko??
 
Umesahau Tumefungwa 1 kule Tunisia
Tumefungwa goli moja sawa kule Tunisia tumepoteza point tatu. Na leo pia tukifungwa tunapoteza point tatu pia wala hakuna maswala ya aggregate katia hatua ya makundi. Mambo ya aggregate yapo katika hatua za mitaoni ndio wanahesabia aggregate ya magoli badala ya point.
 
Dakika 75 ' ya mchezo
Simon Msuva anaonesha ubora wake kwa kupiga mpira wa ku-'bend' almanusura Taifa Stars waandike bao la pili.
Tanzania 1 : 1 Tunisia

Possession 59% Tunisia : 41% Tanzania

 
Dah,, matokeo bado hayatupi nafasi kbsa ,,hii match muhimu kushinda
Kimahesabu nafasi ya stars bado ipo,, maana wana point 4,, aliyepo nafasi ya pili ana point 6,, so inabidi wapambane kufa kupona dhidi ya hawa wawili waliowabakiza. Libya na Eq Guinea
 
Taifa Stars wanafanya mabadiliko ya wachezaji . Iddi Selemani anaingia kuchukua nafasi ya Farid Musa . Simon Msuva anatoka kumpisha Said Hamis 'Ndemla'

Tanzania 1 - 1 Tunisia dakika 10 zimebaki za mchezo huu wa leo jijini Dar es Salaam , Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…