Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Binafsi nafahamu hilo ,,ila tunakosea sana kuwatwisha mizigo ya lawama wale 11 wanaolipambania taifa kwa kuvuja jasho uwanjan
 
La ...mpira ulisimama nikasinzia kidogo ,nilipoamka nikaanza kushangiliwa pira pilau !
bila kujua....baada ya Dk moja nikagundua kumbe hizo rangi tu wale Ni Tunisia!
Ila kiukweli sisi bado.....!
Hata droo Ni sawa tu ,just for ...status Quo!
Hata nyumbani ....no!
 
Binafsi nafahamu hilo ,,ila tunakosea sana kuwatwisha mizigo ya lawama wale 11 wanaolipambania taifa kwa kuvuja jasho uwanjan
Wanavuja jasho kwani hawalipwi mkuu? Huo ni wajibu wao,, kumbuka shabiki ana haki zake kuu 2 za msingi,

1. Ya kwanza kushangilia
2. Kulaumu/Kuzomea
 
[emoji23][emoji23][emoji28]
 
17 November 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Venue : Benjamin Mkapa stadium
Full- time Results :
Tanzania 1 : 1 Tunisia
Goal scorers : Saîf-Eddine Khaoui for Tunisia and Feisal Salum for Tanzania
 
QUOTE="Acm98, post: 37321636, member: 608793"]
Katika hizo match mbili tukipata point 4 n nzur sana kwetu
[/QUOTE]
Hapana mkuu inabidi kwenye hizo NNE tumfunge Eq Guinea... maana anapoint 6 na halo tuombee Tunisia amfunge game ya mwisho...uhakika ni kushinda zote tu.
 
Salam nyingi mumfikishie Mkude na Nyoni msimaahau Kapombe na Feisal🙌🙌🙌🙌
Nchimbi kazingua kiasi kanfurasha kiasi pia🚶🚶🚶
 
We need Amunike back
Hapa chakufanya sasa ni kutuliza ball watafutwe makocha wazawa wakasomeshwe tuanze upya. Hawammakocha wakigeni naona tunawalipa hela bure tuu. Bora ata ale mzawa na timu ifungwe kuliko kuwalipa wakigeni na bado hamna matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…