Mechi ya Tanzania vs Kenya kufuzu CHAN itaonyeshwa kupitia chaneli gan?

Mechi ya Tanzania vs Kenya kufuzu CHAN itaonyeshwa kupitia chaneli gan?

m2kutu

Senior Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
125
Reaction score
101
Wakuu natumai wote mu wazima wa afya na weekend iko poa kwenu.

Nia ya kuandika huu uzi kuomba kujuzwa iwapo mechi kati ya Tanzania na Kenya itarushwa kupitia chaneli gani maana ningependa kuifatilia na nipo mbali kidogo na mji.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom