Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc yavunja record ya mapato, Mashabiki wajaa pomoni Sokoine

Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc yavunja record ya mapato, Mashabiki wajaa pomoni Sokoine

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc ya Mara leo ilitazamwa na mashabiki watatu tu waliolipa kiingilio elf 3000 na jumla kuwa sh.9000/=.

Nasubilia mgawanyo wa mapato
1064560
 
Walikosea kuwekaniyo mechi yaan walisahau ya kuwa wawakilishinwa taifa walikuwa dimban ...bodi ya ligibwalijaribu kuig akama nchibza watu ...haya tazama walivyochanika msamba
 
Hata lipuli kimewakuta hichohicho sema wao wameamua kufanya siri
 
Back
Top Bottom