Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tifua Tifua yao itakuwa 750 tu,ndiyo maana game ya Simba vs Yanga wanafidia kabisaWale mnaolalamika TFF na Bodi ya Ligi wanachukuaga hela ndefu njooni mpige hesabu Leo halafu muweke gharama ambazo TFF inaingia kuandaa mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mgawanyo huo inabaki 5% inaenda wapi? Sijaona hapo ilipoandikiwa kwa sababu 15+1+7+3+9+5Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc ya Mara leo ilitazamwa na mashabiki watatu tu waliolipa kiingilio elf 3000 na jumla kuwa sh.9000/=.
Nasubilia mgawanyo wa mapatoView attachment 1064560
Siamini, hii si kweli watu watatu????Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc ya Mara leo ilitazamwa na mashabiki watatu tu waliolipa kiingilio elf 3000 na jumla kuwa sh.9000/=.
Nasubilia mgawanyo wa mapatoView attachment 1064560
Ni timu ya jeshi hiyo mkuu na mashabiki wake 99% ni maaskari na wakazi wa kota za magerezaHiyo timu tena hapo wako kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi walikuwa busy na game ya Simba vs To Mazembe