Mechi ya VPL, Kariakoo Derby | Simba SC Vs Yanga SC | Uwanja wa Mkapa Yaahirishwa

Hii barua isijekuwa Fake....Kwani Wenyewe Yanga Wanasemaje....? Nakumbuka hapo nyuma kulikuwa na barua inasambaa mtandaoni kuhusu maandamano Ya Amani.....baadae Yanga wakaikana kuwa ni Fake.....!
Hii barua isijekuwa Fake....Kwani Wenyewe Yanga Wanasemaje....? Nakumbuka hapo nyuma kulikuwa na barua inasambaa mtandaoni kuhusu maandamano Ya Amani.....baadae Yanga wakaikana kuwa ni Fake.....!
 
Ikifika saa moja nao simba wataleta kikosi kama walivyofanya yanga?
 
Reactions: BRB
Hakuna mechi hapa aisee..

Endapo itatokea haya, basi TFF na bodi ya Ligi yote iondolewe.

Wamefanya maamuzi ya kipuuzi pasipokufikiria kuwa hii ni mechi yenye pressure kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…