Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Nimeangalia timu zote mbili yaani Yanga na Simba
- Timu zote zinacheza mchezo wa pasi ndefu yaani high balls ingawa Yanga wanaonekana kuwa na advantage ya mchezo huu kwa sababu wana washambulizi karibu wote wenye kasi hasa Ngoma. Msuva na Tambwe ilihali simba anayeonekana kuwa mwiba kwa staili hii ni Hamis Kiiza tu kwani Ajib na Mwalyanzi wanapoozesha
- Timun zote zinakaba njia ingwa simba wanaonekana kuwa na advantage kwani wana viungo wajanja na wepesi kidogo pale kati ilihali Yanga wanapoozesha kidogo na wana watu ambao hawana concentration ya muda mrefu kwani hii ni aina ya mchezo unaohitaji mental than physical presence on the field (zonal marking)
- Defence ni nzuri kwa timu zote ila Yanga wana advantage ya experienced defenders and goal keeping kitu ambacho simba wana lack hasa Manyika, kwa goli walilofungwa simba jana uzeofu wa kipa ulichangia kwani hakusema na walinzi wake na aliwahi kutoka walinzi wakajenga imani kumbe hakuwahi tukio na akapigwa tobo
- super sup za timu zote ni nzuri sana ingawa sijaipenda sub ya Ndaw huenda Lyanga angeongeza nguvu kuliko Ndaw mfano utaona kabisa anapoingia Malimi kuna pressure flani inaongezeka na hata Msuva akianzia benchi lango la adui linakua hatarini muda mwingi
- ........................................
- matokeo?